Topics: How to use Step1? Our services Client confidentiality Key HIV facts Our story Contact us
Step1 helps you know your HIV status by assessing your current health needs and booking appointments for HIV and sexual health services in Nairobi. Begin on the homepage and play the short game to see if you should know your HIV status. When you finish the game, you will receive a tailored recommendation for HIV services and the option to book an appointment directly or chat online with a counselor. After booking, you continue to step 2 and arrive at the clinic for your appointment and reach step 3 where you can recieve any test results and next steps from a doctor or counselor at the clinic.
Step1 offers clients the following services:
Use Step1 to book medical services at private providers or community health centers. Explore the options below:
Use Step1 to help you find sexual health services tailored to your unique needs. By playing this game, you provide some information that helps tailor your journey to your needs. Step1 maintains the confidentiality and privacy of client information in the following ways:
Step1 is made possible with generous support of US taxpayers through the United States Agency for International Development (USAID) and the US President’s Emergency Plan for AIDS Relief (PEPFAR). Step1 was developed in collaboration with community service organizations in Kenya. An HIV project called LINKAGES operates the Step1 platform. The LINKAGES project aims at accelerating the ability of governments and organizations working with people who are at-risk of HIV to plan and implement services that reduce HIV transmission and extend the lives of those already living with HIV.
Have a question? Start a chat with our trained confidential counselor by clicking on a messenger button below.
Call/text +254 758 695 715 | Email: step1.linkages@gmail.com
Talk to us about:
Step1 imewezekana kutokana na msaada mkubwa wa walipa kodi Marekani kupitia Shirika la Marekani kwa ajili ya maendeleo ya kimataifa-United States Agency for International Development (USAID) na mpango wa dharura wa Rais wa Marekani – US President’s Emergency Plan for AIDS Relief (PEPFAR). Step1 ilitengenezwa kwa kushirikiana na mashirika ya huduma ya jamii nchini Kenya. Mradi wa huduma za HIV iitwayo LINKAGES ndiyo inaendesha jukwaa hili la Step1. Mradi wa LINKAGES unalenga kuharakisha uwezo wa serikali pamoja na mashirika yanayofanya kazi na watu walio katika hatari ya kuambukizwa virusi vya HIV ili yaweze kupanga na kutekeleza huduma za kupunguza maambukizi ya HIV na kurefusha maisha ya wale tayari wanaoishi na HIV.
Tumia Step1 kukusaidia kupata huduma za afya ya uzazi zinazohusiana na mahitaji yako ya pekee. Kwa kucheza mchezo kwenye ukurasa wa nyumbani unatoa habari ambayo inasaidia kupendekeza huduma kulingana na mahitaji yako. Step1 inadumisha usiri na faragha ya maelezo ya mteja kwa njia zifuatazo:
Kucheza mchezo na kujibu maswali kuhusu jinsia yako, historia ya kupima HIV, ngono, na tabia za hatari za HIV zitakusaidia kupata mapendekezo muhimu Zaidi. Majibu yako kwa maswali haya hayashirikiwi na kliniki ambapo unachagua uteuzi na majibu yako hayatatumiwa na wafanyakazi wetu ili kukufahamu wewe binafsi.
ili kuandika miadi/kupata nafasi ya kuonekana na mhudumu, Step1 inahitaji namba halali ya simu ili kuhakikisha kwamba kila mtu anaweza kuwa na chaguo la kupokea huduma za ufuatiliaji wa bure kutoka kwa mshauri wa pepe wa siri. Huduma hii ni sehemu ya huduma bora ya HIV, hivyo wateja wote wanaweza kufikia matibabu na huduma za kuzuia kuambukizwa na virusi vya HIV.
Matokeo ya kupimwa HIV hushirikiwa moja kwa moja kutoka kliniki hadi kwa mteja na haitashirikiwa na wafanyakazi wa Step1. Wateja wana fursa ya kueleza washauri wa Step1 kuhusu matokeo ya kipimo cha HIV. washauri hawa wanaweza kutoa huduma za kufuatilia, ushauri na rufaa/kuelekezwa.
Step1 inawakilisha wateja kwenye vituo vya afya vya jamii au watoa huduma binafsi ambao hufuata miongozo ya NASCOP na hudhibitiwa na Wizara ya Afya.
Tunakuunganisha kwa watoa huduma binafsi au vituo vya afya vya jamii. Chunguza chaguzi hapa chini:
ni watoa huduma wa kulipwa kutoa afya ya uzazi na huduma nyingine nyingi.Step1 inatoa rufaa/waelekeza kwa watoa huduma binafsi ambao ni wanachama wa mtandao wa Gold Star Kenya.Wateja hupendelea watoa huduma binafsi kwa sababu wanajumuisha watu wote na wana uhakika mkubwa wa kuweka mambo siri kwa sababu wateja kutoka sehemu mbalimbali hupata huduma hizi kwa sababu tofauti tofauti.Kwa kawaida, watoa huduma binafsi wana wakati mfupi wa wateja kusubiri na vile vile watu wachache katika chumba cha kusubiri.Pokea kizazi cha tatu cha kupima HIV (3rd generation HIV test) kwa watoa huduma binafsi pamoja na huduma mbalimbali.
ni vituo vinavyotoa huduma za bure na utaalam katika mahitaji ya afya ya uzazi ya watu fulani walio hatarini zaidi kupata HIV. Vituo hizi zinaendeshwa na wanajamii na ni vituo salama ambapo wateja wa jamii wanaweza kujisikia huru kuzungumza kuhusu mahitaji yao ya afya ya uzazi na kupata rasilimali nyingine za jamii. Pokea PrEP katika vituo vya afya vya jamii (pamoja na huduma nyingine kulingana na mahali mbalimbali).
Una swali? Anza kuzungumza na mshauri wa siri mwenye mafunzo kwa kubonyeza kifungo cha mjumbe hapa chini.
Maelezo ya kuwasiliana na Mshauri: Simu na WhatsApp: +254 758 695 715 | Barua pepe: step1.linkages@gmail.com
Zungumza na mimi kuhusu: